Wema App ( @wemasepetu ) Instagram Profile

wemasepetu

Wema App

Miss Tanzania 2006 Endless Fame CEO/Award Winning Actress CEO - @littlesweetheartstz baby slayers CEO - @wemaapp Available on PlayStore/AppStore

 • 574 posts
 • 7.3m followers
 • 493 following

Wema App Profile Information

 • Playing this Role makes me Soooo happy... From the Character Profile to The way I carry myself & everything else & More... I was Born to do this... And i Owe it all to The Almighty... 
.
.
.
Being styled by sooo many different people, MY GOD...!!! Here is me wearing @wstyleloft 's Pieces... She is amazing...!!! Baby you do me Justice I must say... Or you do my Role Justice... Dats for Sure... I enjoy being dressed by You...😍😍😍 Cant wait for all the Threads you got instore for me... @wstyleloft @wstyleloft @wstyleloft @wstyleloft 
.
.
Its 04:00 o'clock in the morning & I gotta be up & Ready to Face Mr.Camera...!!! I love This Job..!!! And You'll soon find out why... 
.
.
.
Ladies & Gentlemen, Have A Good Morning...!!! 
.
.
.
Styled by my very own @martinkadindaofficial 
.
.
.
P.S @wema_memes & @hopeolivier24 ni Hizi TU... Za Nguo hii😉 "If you know what I mean" 🤣🤣🤣

 •  0  619  5 July, 2020
 • Ulikuwa unajua kuwa ukipika hivi Mchuzi wako wa samaki ladha inakuaje....??? Ebu jaribu alafu unipe majibu.... Ladha utakayoipata ni ya DUNIA... Try A Taste So Different for your Family & Loved Ones kwa kutumia Bidhaa zetu nzuri za @redgoldtz @redgoldtz @redgoldtz @redgoldtz

 •  0  136  3 July, 2020
 • Tahadhari jamani natoa... Sipendi kusemwa miguu yangu... Maana mwenyewe najijua miguu mizuri sikubarikiwa Reason hamnioni nikiji associate na vitu vya kureveal mambo za huko chini...😂😂😂 Ndo maana wanasema Mungu hakupi vyote... Basi nikijijua mwenyewe yatosha kwani lazima mniambie... Wengine mnasema ukute miguu zenu ni vitu mbaya sana pia...🤦🏼‍♀️🤨 Haya ndo miguu zangu hizo apo mezionesha... Endeleeni kusema sasa... 🤣🤣 Nmeandika hii caption nacheka sana kwakweli... Sema kiukweli kwa miguu HAPANA.. Sio majaaliwa yangu...🙈🙈🙈 
.
.
.
GoodMorning Insta Fam... Alafu hapo sijavaa kigodoro maana pia nimeona mnasema nimevaa... Ila Waja Hamna Jema nyie... 🤣🤣🤣
.
.
.
Too Much Love From Me to You...!!!

 •  0  2,324  3 July, 2020
 • I spot A Sean in my Picture... Do you See Him...??? 🤔🤔🤦🏼‍♀️🤣🤣

 •  0  968  2 July, 2020
 • Ndo kwanza tumemaliza Season 0ne ya Kipindi chetu cha Cook with Wema... Wakati tunajipanga na Season 02, ningependa tu kuwakumbusha kwamba vpindi vyote vipo kwa app na tutakuwa tunaweka Highlights pamoja na Behind The scenes, pia nitaweka maoni yenu na nini mnataka na kuyafanyia kazi.... 
.
.
.
Mashabiki zangu mkae tayari kwa mambo mazuri saana.. 
.
.
.
Download & Subscribe Wema app kupitia Google play na App store now... cc @wemaapp @cookwithwema @bestizzo

 •  0  585  1 July, 2020